
HATUA YA MAKUNDI YA AFCON INATAMATIKA, EPL, EFL CUP NAKO MAMBO SAFI!
Wakati baadhi ya mataifa yakiwa yamejihakikishia kucheza Hatua ya 16 Bora, baadhi yao bado hali ni tete. EPL na nusu fainali ya EFL Cup pia inaendelea wiki hii kule Uingereza. Meridianbet tumekuwekea Odds Bora kwa namna hii; Hatma ya Senegal na Malawi itajulikana leo usiku watakapochuana kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B. Nani…