
JEMBE JIPYA SIMBA KUANZA NA MTIBWA SUGAR MANUNGU
JANUARI 22,2022 leo mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Mtibwa Sugar na Simba unatarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni ambapo mashabiki wa Simba wameambiwa wasubiri kuona kikosi kamili. Miongoni mwa nyota ambao wanatarajiwa kuanza leo ni pamoja na Clatous Chama ambaye ni ingizo jipya kwa mara nyingine tena ndani ya kikosi cha Simba. Chama amerejea…