
COMOROS KUVAANA NA CAMEROON YENYE KINARA WA UTUPIAJI
COMOROS leo wana kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa 16 bora wa Afcon 2021 dhidi ya Cameroon mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Pia kuna uwezekano Comoros ikashuka uwanjani bila ya uwepo wa kipa kutokana na makipa wake kusumbuliwa na majeraha na wengine wanasumbuliwa na Covid-19. Hata kocha wao Amir Amir Abdou naye anaweza…