MEI 31 2025 Simba SC inashuka Uwanja wa Tanzanite Kwaraa kumenyana na Singida Black Stars, mwamuzi ni Ahmed Arajiga, kikosi kipo namna hii hatua ya nusu fainali:-
Moussa Camara, Davids Kameta, Valentin Nouma, Hamza, Che Malon, Yusuph Kagoma, Kibu Denis, Fabrice Ngoma, Steven Mukwala, Jean Ahoua, Joshua Mutale.
Wachezaji wa akiba ni Ally Salim, Hussein, Chamou, Okejapha, Chasambi, Mavambo, AwesuAwesu,Mpanzu, Bashiri.
Soccer Football - International Friendly - Spain v Brazil - Santiago Bernabeu, Madrid, Spain - March 26, 2024 Spain's Rodri scores their third goal from the penalty spot REUTERS/Violeta Santos Moura