Home Sports ABDI BANDA AMLIPUA INONGA BAADA ya SARE na SIMBA – “HANIJUI MIMI...

ABDI BANDA AMLIPUA INONGA BAADA ya SARE na SIMBA – “HANIJUI MIMI NANI”

Beki wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda baada ya kutoka sare Simba “Inonga Hanijui vizuri alikuja ananionesha jezi yake, alitaka kutawala mchezo, mwisho yeye katoka nje mimi nimemaliza mechi nahisi ataambiwa kuwa mimi na nani ”

 

Previous articleKOCHA SIMBA AFUNGUKA “TUNA RATIBA NGUMU”
Next articleCHIKO AKABIDHIWA MAJUKUMU YA JESUS MOLOKO ARUSHA