Home Sports HATUA YA MAKUNDI YA AFCON INATAMATIKA, EPL, EFL CUP NAKO MAMBO SAFI!

HATUA YA MAKUNDI YA AFCON INATAMATIKA, EPL, EFL CUP NAKO MAMBO SAFI!

Wakati baadhi ya mataifa yakiwa yamejihakikishia kucheza Hatua ya 16 Bora, baadhi yao bado hali ni tete. EPL na nusu fainali ya EFL Cup pia inaendelea wiki hii kule Uingereza. Meridianbet tumekuwekea Odds Bora kwa namna hii;

 

Hatma ya Senegal na Malawi itajulikana leo usiku watakapochuana kwenye mchezo wa mwisho wa kundi B. Nani anasonga mbele, nani anakaa pembeni kunako AFCON 2021? Usikae kinyonge, wataalamu wa hizi kazi wanaifuata Odds ya 1.31 kwa Senegal kupitia Meridianbet.

 

Kwenye EPL, Leicester City watawaalika Tottenham Hot Spur katika muendelezo wa ligi. Uwepo wa COVID-19 unaathiri baadhi ya michezo kwenye ligi mbalimbali. The Foxes vs Spurs sio mchezo mdogo, lolote linaweza kutokea zinapokutana timu hizi. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.35 kwa Spurs.

Jumatano, Brentford watachuana na Manchester United. The Bees wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa wametoka kufungwa na Liverpool. The Red Devils nao, walipuyanga kwenye mchezo dhidi ya Aston Villa, faida ya magoli 2 haikuwa na maana baada ya Villa kurudisha magoli yote. Meridianbet tumeweka Odds ya 1.79 kwa United.

 

Liverpool vs Arsenal katika nusu fainali ya kwanza ya EFL Cup. Mchezo huu ulighairishwa wiki chache zilizopita na sasa, tunaendelea tupoishia. Ni Klopp au Arteta atakayejiweka kwenye nafasi ya kupambana na Chelsea kwenye fainali? Ifuate Odds ya 2.05 kwa Liverpool.

 

Ivory Coast uso kwa uso na Algeria Alhamisi hii. Ni kama vile safari ya Algeria kutetea ubingwa wao ipo mikononi mwa mchezo huu, watatoboa au watatobolewa? Unyama wote upo kwenye Odds ya 2.24 kwa Algeria.

Previous articleUSAJILI UMEKWISHA SASA KAZI IENDELEE
Next articleMSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA