
ORODHA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA HII HAPA
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars) kitaweka kambi jijini Tunisi, Tunisia kwa ajili ya kujiandaa kwa mchezo wa marudiano wa Kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Algeria. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Septemba 7, 2023. Timu hiyo ipo chini ya Kocha Mkuu Adel Amrouche ambyae ametaja orodha hii:- Beno Kakolanya (Singida BS) Metacha Mnata…