
Yanga SC ni mwendo wa Tunapiga Kichwani Tu
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC ameweka wazi kuwa kwa sasa Yanga SC hakuna…
Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC ameweka wazi kuwa kwa sasa Yanga SC hakuna suala la kupeana matumaini bali ni mwendelezo wa dozi pale ambapo waliishia. Ipo wazi kwamba Yanga SC ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara kuelekea msimu mpya wa 2025/26. Kwa sasa wana jambo kubwa la Wiki ya Mwananchi ambalo…
Clatous Chama msimu wa 2025/26 atakuwa ndani ya uzi wa Singida Black Stars kwa changamoto mpya baada ya mkataba wake kuisha ndani ya Yanga SC. Tayari ameanza mazoezi na wachezaji wenzake huku akiwa amekabidhiwa jezi namba 7 kwa ajili ya mazoezi ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya. Chama Septemba 4 2025 alianza kazi ndani ya…
The China-Tanzania “Chinese + Vocational Skills” project organized by Henan Lianfei Business Information Consulting Co., Ltd. is implemented at the University of Dar es Salaam (UDSM) and VETA Kipawa ICT Centre. The short-term project will help young people master the practical skills necessary for Tanzania’s industrial transformation and sustainable development and empower them to acquire…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amewaomba mashabiki wa Simba SC kufanya kila linalowezakena lakini wasikosekana Septemba 10 2025 Uwanja wa Mkapa kwenye tamasha la Simba Day. Katika tukio hilo kubwa msimu wa 17 wachezaji, benchi la ufundi watatambulishwa wakiwa kwenye jezi mpya za msimu wa 2025/26 na wanatarajia kucheza…
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo Septemba 5 2025 kitakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Congo Brazzaville ambao ni maalumu kwa ajili ya kufuzu kombe la Dunia 2026 utakaochezwa Uwanja wa Alphonce Masamba Debat. Septemba 4 2025 Stars ilifanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa ambao utatumika kwa mchezo wa leo…
MO Dewji amemteua Crescentius Magori kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba SC hivyo mipango yote itakuwa inaendelea chini ya safu mpya ya uongozi. Mo amebainisha kuwa ameamua kufanya hivyo kutokana na kuhudumu kwa muda mrefu na majukumu yake akiwa mbali ameone ni muhimu Klabu ya Simba SC ipate kiongozi wa bodi ambaye…
UONGOZI wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa upo tayari kwa msimu mpya wa 2025/26 unaotarajiwa kuanza rasmi Septemba 17 2025. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 haukuwa imara kwa timu hiyo ambayo ilianza kwa kasi mzunguko wa kwanza na iliandika rekodi ya kuwa ndani ya tano bora kwa muda mrefu kisha ikaporomoka mpaka kuwa timu iliyocheza…
INGIZO jipya ndani ya kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz anatajwa kuwa na balaa zito kwenye uwanja wa mazoezi. Ni kiungo ambaye anatajwa kuwa mbeba mikoba ya nyota Aziz Ki ambaye hatakuwa ndani ya kikosi cha Yanga SC msimu wa 2025/26 baada ya kupata changamoto mpya. Anaitwa Mohammed Doumbia inaelezwa kuwa…
Kwenye mchezo wa kasino mtandaoni, ushindi haupo tu kwenye namba, uko kwenye uzoefu, msisimko, na zawadi halisi. Meridianbet imeleta mapinduzi mapya kwa wachezaji wa kasino mtandaoni kupitia mchezo wa Super Heli, ambao sasa unakuja na ofa ya kuvutia ya kujishindia simu mpya ya Samsung Galaxy A25 kwa kucheza Super Heli. Super Heli si mchezo wa…
Klabu ya Simba SC imeendelea na harakati zake za kuimarisha kikosi kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC na michuano ya kimataifa kwa kuwatambulisha rasmi nyota wapya wawili kutoka klabu ya JKT Tanzania. Wachezaji hao ni Wilson Nangu, beki wa kati wa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), pamoja na kipa ambaye ameonyesha…
Leo hii wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet tunaanganzia timu ambazo zimefanya usajili wa pesa pale LALIGA, EPL, BUNDESLIGA, LIGUE 1 pamoja na SERIE A. Na je kwako unaona ni usajili upi utaenda kufanya vizuri kwenye dirisha hili la usajili la 2025/26? BUNDESLIGA kule Ujerumani wababe wa ligi hiyo Bayern Munich wao msimu huu baada ya…
Katika ulimwengu wa michezo ya kubashiri, ushindi hauishii tu kwenye pesa, sasa unakuja na zawadi za kifahari. Mabingwa wa ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, wamezindua promosheni kabambe inayowapa wachezaji nafasi ya kujishindia simu mpya kabisa aina ya Samsung A25 kupitia mchezo maarufu wa Aviator. Kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri, Aviator si mchezo mpya kwao. Unahusisha…
Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kupasua mshiko uutakao?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa lakini pia mechi kibao zinapatikana hapa. Bashiri timu ambazo unaona msimu ujao zitashuka daraja na mabingwa wa ubashiri hapa. Leeds United ni moja ya timu ambazo nazo zipo kwenye nafasi kubwa ya kushuka daraja msimu ujao kwani…
Kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri, Meridianbet imeleta kitu kipya na cha kusisimua, Meridian Bonanza. Huu ni mchezo wa kasino mtandaoni ulioundwa kwa teknolojia ya kisasa, ukiwa na vipengele vya kipekee vinavyokupeleka karibu na ushindi mkubwa kila unapofanya mzunguko mchezoni. Ni mchezo unaochanganya mbinu, bahati, na msisimko wa kweli. Kipengele cha Ante Bet kinakupa uhuru…
Msimu mpya wa kombe la Kagame (Kagame Cup) unaanza kesho Septemba 2, 2025 kwa mechi mbili kuchezwa kwenye uwanja wa Major General Isamuhyo, Dar es Salaam, mechi hizo zikitarajiwa kutangazwa mubashara na kituo cha radio cha Times FM. Times FM imeingia ubia na Baraza la Soka Afrika Mashariki na Kati ( Cecafa) kutangaza mashindano hayo…
NYOTA Clatous Chama inatajwa kuwa amemalizana na Singida Black Stars kwa kusaini mkataba wa mwaka mmoja kuwa hapo msimu wa 2025/26. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2024/25 Chama alikuwa ndani ya kikosi cha Yanga SC ambapo hapo mkataba wake umegota mwisho kwa kuwa alisaini mwaka mmoja. Alikuwa ni mchezaji wa kwanza kutangazwa kuwa Yaga SC akitokea…
SIMBA SC imezindua rasmi uzi wake mpya kuelekea msimu wa 2025/26 Agosti 31 2025 katika ukumbi wa Super Dome, Masaki na mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Gerson Msigwa. Msigwa amesema kuwa ni muhimu kwa mashabiki wa Simba SC kuhakikisha kuwa wanapata bidhaa original na sio feki kutokana na gharama kubwa…