
ZIMBWE JR NI NJANO NA KIJANI, SIMBA SC YAKATA TAMAA
NAHODHA wa Simba SC, Mohamed Hussen msimu wa 2024/25 kuna uwezekano mkubwa akaibukia ndani ya kikosi cha Yanga SC akiwa ni mchezaji huru. Ikumbukwe kwamba Zimbwe aliongeza mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC mwaka 2023 tayari 2025 umefikika tamati Julai 10 2025 hivyo kwa sasa mchezaji huyo ni huru. Julai 19 2025, Zimbwe Jr…