
MAXI NAMBA 7 WA YANGA ATUMA UJUMBE HUU KIMATAIFA
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Maxi Mpia Nzegeli ameweka wazi kuwa malengo yake ni kuhakikisha kuwa anaisaidia timu hiyo kufanya vyema katika michuano ya kimataifa na kufikia malengo yao ya kufika hatua ya makundi. Yanga ili wafanikiwe kutinga katika hatua ya makundi wanatakiwa kuhakikisha kuwa wanawaondoa Al Merrikh katka mchezo unaofuata wa hatua ya pili ya…