
NBC YAZINDUA NEMBO MPYA YA CHAMPIONSHIP
NI Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Septemba 7 imezindua rasmi chapa mpya ya Ligi ya Daraja la Kwanza (championship). Ligi hiyo kwa sasa inafahamika kwa jina la NBC Championship hatua ambayo imekwenda sambamba na uzinduzi wa mashindano hayo ya soka yanayotarajiwa kuanza Septemba 9. Ujio wa…