
WABABE KAZINI NA REKODI ZAO MATATA HIZI HAPA
MSAKO wa pointi tatu kwenye Ligi Kuu Bara unazidi kupamba moto huku kila timu zikionyesha uimara wake katika kutumia makosa ya wapinzani. Septemba 21 itabaki kwenye rekodi kwa wababe wanne kuwa kazi kusaka ushindi na mwisho wawili wakawapoteza wapinzani wao. Hapa tunakuletea namka kazi ilivyokuwa namna hii:- Mabao ya mapema Mashabiki wa Simba walishuhudia bao…