VIDEO: ISHU YA KASI YA YANGA KWENYE LIGI SIMBA YAFUNGUKIA HIVI

IKIWA ni msimu mpya wa 2023/24 wakati Yanga wakianza kwa kasi ya 5 G kwenye mechi zao, shabiki wa Simba Kisuga ameweka wazi kuwa Yanga wanastahili pongezi kwa namna ambavyo wameanza.

Mchezo wa kwanza kwenye ligi Yanga ilicheza na KMC, Uwanja wa Azam Complex na ule wa pili ilikuwa dhidi ya JKT Tanzania.
Kwenye mechi zote hizo mbili dozi ya Yanga ilikuwa ni 5 G ikiwa imekusanya mabao 10 ndani ya dakika 180 inaongoza ligi.