
PETER BANDA AKUTANA NA THANK YOU SIMBA
KIUGO Peter Banda hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2023/24. Usajili wa nyota huyo ulileta mtikisiko ambapo alikuwa anatajwa kupokwa airport na watani zao wa jadi Yanga jambo ambalo lilizua gumzo. Mwisho Simba walimtambulisha ndani ya kikosi hicho na kuzima kele za watani wao wa jadi Yanga kushinda vita ya kuinasa saini ya…