
YANGA KUTUMIA MBINU ZA CAF KUWAKABILI KMC
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi ambayo wanafanya kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ni mwendelezo wa kurejea kwenye ligi kuendeleza kazi ya kutetea taji lao. Ipo wazi kuwa msimu wa 2022/23 Yanga ilitwaa taji la Ligi Kuu Bara huku watani zao wa jadi Simba wakigotea nafasi ya pili. Agosti 23 kikosi cha Yanga kinatarajiwa…