
YANGA YAWEKA MTEGO CAF, KOCHA AMUONYA BALEKE SIMBA
YANGA yaweka mtego CAF, Baleke aonywa Simba ndani ya Spoti Xtra Jumapili
YANGA yaweka mtego CAF, Baleke aonywa Simba ndani ya Spoti Xtra Jumapili
MASTAA wa Simba ikiwa ni pamoja na Luis Miquissone, Fabrince Ngoma, Jean Baleke na John Bocco wameanza kusukwa upya ili kurejea kwenye makali yao. Nyota hao wameandika rekodi mbovu ya kukomba dakika 180 katika mechi za Ngao ya Jamii 2023 bila kufuga bao lolote licha ya kutwaa taji hilo. Simba ilitwaa Ngao ya Jamii kwa…
CHAMA cha Soka Saudi Arabia kipo kwenye mazungumzo na UEFA kuhusu uwezekano wa bingwa wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia kushiriki michuano hiyo msimu wa 2024/25. Hii inakuja baada ya Saudi Arabia Pro League kusajili wachezaji wakubwa na waliokuwa vipenzi vya mashabiki wengi huko Ulaya. Kwa sasa ligi ya Saudia imekuwa ikifuatiliwa tangu, Cristiano Ronaldo…
HUKO Yanga unapikwa mfumo mpya wa kuhakikisha kocha, Miguel Gamondi anatumia namba 10 wawili katika kikosi chake ili kuongeza ubunifu katika kufunga mabao yatakayoisaidia Yanga kuwa bora msimu huu. Gamondi tayari ameshawafurahisha mashabiki wa timu hiyo licha ya kupoteza mechi yao dhidi ya Simba kwenye fainali ya Ngao ya Jamii ambapo kikosi chake kilionyesha kiwango…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa mchezo wa mpira unahitaji mabao jambo ambalo wamelifanyia kazi. Kesho Agosti 20, Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya ASAS Djibouti katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ambapo hata ule wa pili utachezwa pia Jumapili…
MASTAA wa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Robert Oliveira, Clatous Chama na Luis Miquissone wamekuja na jambo lingine katika kufunga na kutoa pasi za mabao. Simba msimu wa 2022/23 walipishana na ubingwa ambao ulikwenda kwa watani zao wa jadi Yanga. Pia hata taji la Ngao ya Jamii lilibebwa na Yanga na lile la Azam Sports…
SAKATA la kwanza la Ligi Kuu Bara katika msimu mpya wa 2023/24 ni kuhusiana na suala la kuvunjika kwa mechi kati ya Azam FC dhidi ya Kitayose ya Tabora. Mechi hiyo kwenye Uwanja wa Chamazi iliisha hata kabla ya mapumziko kutokana na wageni Kiyayose kuanza na wachezaji pungufu na baadaye wakapungua kutokana na kuumia kwa…
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo, Saleh Jembe ameweka wazi kuhusu sakata la nyota wa Yanga msimu wa 2022/23 Bernard Morrison ikitajwa kuwa anakwenda kuwashtaki waajiri wake Yanga FIFA. Jembe amezungumzia na ishu ya Klabu ya Kitayosce kukwama kukamilisha masuala ya usajili ikiwa ni aibu. Morrison amekutana na Thank You Yanga…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kushindwa kupata ushindi dhidi ya watani zao wa jadi ni mwanzo wa kulipa kisasi wakikutana kwenye mchezo wa ligi. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Agosti 13 ilishuhudia ikivuliwa taji la Ngao ya Jamii na watani wa Jadi Simba waliopata ushindi wa penalti 3-1 kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa…
IKIWA Uwanja wa Manungu, Morogoro katika safu za milima ya Uluguru, Mtibwa Sugar imeyeyusha pointi tatu. Ubao umesoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba ukiwa ni mchezo wa ufunguzi Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Katika mchezo wa Agosti 17 Uwanja wa Manungu, Mtibwa Sugar walikuwa imara kwenye mashambulizi ya kushtukiza pamoja na kujilinda kwa tahadhari huku…
PRINCE Dube nyota wa Azam FC amefungua akaunti ya mabao dakika ya tano kwa kufunga bao dhidi ya Kitayosce. Nyota huyo anayekipiga kwa matajiri wa Dar ni mbabe wa Simba kwa msimu wa 2022/23 kwa kuwatungua kwenye mechi za ligi zote mbili walipokutana. Katika dakika 180 msimu wa 2022/23 Dube alikuwa akiwapa tabu Simba yenye…
MCHEZO wa ufunguzi wenye ushindani mkubwa unachezwa Agosti 17, Uwanja wa Manungu. Mtibwa Sugar wakiwa ugenini ni mchezo wa Ligi Kuu Bara inashuhudia dakika 45 ikiwa mbele kwa mabao matatu. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa ligi ni Yanga chini ya Miguel Gamond. Ubao wa Uwanja wa Manungu unasoma Mtibwa Sugar 2-3 Simba. Mabao mawili ya…
MKALI wa Uwanja wa Manungu kwa msimu wa 2022/23 Jean Baleke yupo kamili kuikabili timu hiyo akiwa na kazi ya kuvunja rekodi yake aliyoandika kwenye uwanja huo. Ni Feisal Salum huyu aliyekuwa ndani ya Yanga msimu wa 2022/23 na sasa ndani ya Azam FC ameandika rekodi ya kuwa nyota wa kwanza kufunga hat trick kwenye…
TUMEONA namna Ligi Kuu Tanzania Bara ilivyoanza kwa kasi huku kila timu ikipambana kuonyesha uwezo wake ndani ya uwanja katika kutafuta ushindi na hii inaonyesha maandalizi yalikuwa bora. Pongezi kubwa kwa wachezaji ambao wameanza kuonyesha uwezo wao na hili linapaswa kuwa endelevu na sio kwenye mechi za mwanzo kisha mechi zinazofuatwa ikawa tofauti. Timu zote…
KUFUATIA mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Azam FC dhidi ya Kitayosce ya Tabora kutokamilika dakika 90 uongozi wa Bodi ya Ligi Tanzania umetolea ufafanuzi suala hilo. Ni Yanga wao walitwaa taji la ligi msimu wa 2022/23 wana kazi ya kutetea taji hilo kwa msimu mpya wa 2023/24. Mchezo wa kwanza kwa Yanga inayonolewa…
MCHONGO wa Yanga CAF huu hapa, kiungo Simba atimka ndani ya Spoti Xtra Alhamisi