HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya ASAS Djibouti wakiwa ni wenyeji wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Kikosi cha Yanga kinanolewa na Miguel Gamondi ambaye amepanga kete zake namna hii:-
Djigui Diarra atakuwa langoni kwa upande wa Yanga
Nickson Kibabage
Bakari Mwamnyeto
Bacca
Jonas Mkude
Jesu Moloko
Sure Boy
Konkoni
Max
Aziz KI
Akiba ni:- Mshery, Yao, Gift, Mauya, Muda, Zouzoua, Nkane, Musonda, Mzize
Uwanja wa Azam Complex