MBRAZILI SIMBA AMPA BALEKE SAA 48
KIKOSI cha Simba jana Jumanne kilirejea kambini baada ya mapumziko ya siku moja, huku Kocha Mkuu Mbrazili, Robert Olvieira ‘Robertinho’ akitenga programu ya siku mbili sawa na saa 48, kwa mastaa wote akiwemo straika Jean Baleke. Lengo ni kuhakikisha Simba wanaibuka na ushindi dhidi ya Coastal Union na kukata tiketi ya kucheza robo fainali ya…