Yanga SC yaweka wazi mipango kazi

UONGOZI wa Yanga SC umeweka wazi kuwa kutakuwa na muda wa mapumziko kwa wachezaji wa timu hiyo kwa muda wa siku 8 huku wakiendelea na program za mazoezi. Timu hiyo mchezo wake wa mwisho ulikuwa wa kirafiki dhidi ya St George ikipata ushindi wa bao 1-0 likifungwa na Albert Kangwanda Uwanja wa Uhuru. Kamwe ameweka…

Read More

Spinning Buddha Yafungua Lango La Msisimko Meridianbet

Meridianbet imeongeza moto mwingine kwenye burudani za kasino kupitia Spinning Buddha, mchezo mpya unaokuja na mchanganyiko wa muonekano wa kuvutia, msisimko na nafasi ya kujaribu bahati. Ni aina ya mchezo inayoweza kukufanya ufuatilie kila mzunguko kwa hamu, huku ukisubiri kuona alama zitakavyopangwa. Kwa wapenzi wa kasino wanaopenda michezo yenye mwendo na mazingira yenye mvuto, Spinning…

Read More

Manchester City Yashinda 5-3, Haaland Aweka Rekodi

MANCHESTER, England — Manchester City imepata ushindi wa mabao 5-3 dhidi ya Sunderland katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Etihad, Septemba 20, 2026, katika mchezo uliokuwa na drama kubwa. Erling Haaland ndiye aliyehitimisha mchezo huo kwa kufunga bao la tano la City dakika ya 82, likiwa bao lake la 10 msimu huu….

Read More

Pia Sloti Yaleta Safari Mpya ya Jackpot Kwenye Meridianbet

Mchezo wa kasino unapokuwa na simulizi, mandhari na msisimko wa kutosha, kila mzunguko unaweza kuhisi kama safari mpya. Hivyo ndivyo ilivyo kwa Pia Sloti, mchezo unaozidi kuvutia wapenzi wa burudani kupitia Meridianbet. Kutoka kwenye muonekano wake hadi kwenye uwezekano wa jackpot, mchezo huu umebeba ladha inayomfanya mchezaji kutaka kuona kitakachojitokeza katika raundi inayofuata. Safari inaanzia…

Read More

Yanga SC 1-0 Saint George SC Kamwe atoa neno

Wakati ubao wa Uwanja wa Uhuru Septemba 18, 2026 ukisoma  Yanga SC 1-0 Saint George SC, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga SC amesema kuwa hayo ni maandalizi kwa mechi zinazofuata. Katika mchezo huo wa kirafiki dakika 45 za awali ngoma ilikuwa 0-0 kwa timu zote uwanjani. Bao pekee kwa Yanga SC limefungwa…

Read More

FORTUNE FARM: Shamba la Bahati Linalokupeleka Kwenye Ngazi Tatu za Bonasi

Kuna wakati ambapo safari ya ushindi huanza kwa hatua ndogo, lakini hujenga msisimko mkubwa kadri inavyoendelea. Hiyo ndiyo simulizi inayopatikana ndani ya Fortune Farm ya Meridianbet, mchezo wa kasino unaokupeleka kwenye shamba la bahati lenye mandhari ya kipekee. Hapa, dau lako linakuwa mwanzo wa safari ya kufuatilia gurudumu la bonasi, Wilds na vizidishi vinavyoweza kuongeza…

Read More