Serikali Yatoa Tamko Kuhusu Jezi Mpya Za Timu Za Taifa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ufafanuzi kuhusu jezi za timu za taifa kufuatia mjadala uliotokana na mchakato wa kuzibadilisha na kuishirikisha Wizara katika maelekezo yaliyotolewa mwezi Februari 2026. Katika taarifa yake ya Septemba 18, 2026, Wizara imesema Serikali inaendelea kuweka fedha nyingi katika maandalizi ya timu za taifa zinazoshiriki mashindano ya kimataifa,…