Arsenal Yapata Nafuu — Man City Yakwama Tena
Manchester City imelazimishwa sare tasa dhidi ya Sunderland kwenye Uwanja wa Stadium of Light, katika mchezo uliokuwa mkali lakini bila mabao. Ni siku ambayo karibu michezo yote ya Ligi Kuu England imeishia bila mshindi. Sare hiyo inaiacha Man City ikiwa alama nne nyuma ya viongozi Arsenal, ambao sasa wana pointi 41 baada ya michezo 19….