Polisi Tanzania 2-0 Mbeya City
MCHEZO wa NBC Premier League kwa wababe wawili umekamilika baada ya dakika 90 huku pointi tatu zote zikibaki nyumbani. Ubao wa Uwanja wa Sheikh Amri umesoma Polisi Tanzania 2-0 Mbeya City. Mabao yote mawili yamefungwa na mshambuliaji wa mabao Anuary Jabir dakika ya 38 na 45+2 kwa mkwaju wa penati. Ushindi huu unaifanya Polisi Tanzania…