Mechi Kali Ulaya: Bilbao, Atletico, Tottenham Na Inter Kwenye Vita Ya Pointi
Kama kawaida ni siku nyingine ya kuibuka mbabe kwani siku si nyingi Meridianbet imnetangaza mshindi wa zaidi ya Milioni 20. Unangoja nini sasa kusuka jamvi lako la ushindi? Leo hii tunaanza na ligi kuu ya Hispania LALIGA ambapo Athletic Bilbao atamualika Atletico Madrid chini ya kocha mkuu Diego Simeone ambao msimu huu wameanza kwa kasi…