Álvarez aamua kubaki Atletico Madrid licha ya ofa ya Arsenal

Mshambuliaji wa Atlético Madrid, Julián Álvarez, ameamua kuendelea kusalia katika klabu hiyo licha ya kuwepo kwa taarifa za kuhusishwa na uhamisho kuelekea klabu mbalimbali, ikiwemo Arsenal. Álvarez, ambaye ni mchezaji wa kimataifa wa Argentina, alikuwa miongoni mwa mastaa waliokuwa wakitajwa katika siku za mwisho za dirisha la usajili, huku Arsenal ikitajwa kuwa moja ya klabu…

Read More

Tanzanite Queens kukabiliana na Brazil, England na Canada Kombe la Dunia U-20

Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania chini ya umri wa miaka 20, Tanzanite Queens, imeondoka nchini kuelekea Poland tayari kwa fainali za Kombe la Dunia la FIFA U-20, zinazotarajiwa kuanza Septemba 5, 2026. Tanzanite Queens imepangwa katika Kundi B, ambalo linaonekana kuwa na ushindani mkubwa baada ya Tanzania kukutana na mataifa yenye historia kubwa…

Read More

Gates of Olympia, Ladies Days na Super Heli Zawa Sehemu ya Meridianbet Missions

Mashindano ya zawadi yamepata sura mpya kupitia Meridianbet Missions, mfumo unaowapa wachezaji nafasi ya kufanya kila dau kuwa sehemu ya safari ya kukusanya alama. Kwa mashabiki wa sloti na michezo ya bahati nasibu, sasa kuna zaidi ya kusubiri matokeo ya mchezo, kuna misheni za kukamilisha, alama za kukusanya na zawadi za kulenga. Ni safari inayoongeza…

Read More

Matokeo ya mzunguko wa 4 NBC Premier League

Haya ni matokeo ya mechi za mzunguko wa 4 ndani ya NBC Premeir League 2026/27 Mashujaa FC 2-1 Kagera Sugar, Uwanja wa Lake Tanganyika, Agosti 27,2026 Wafungaji Mishano Daud dakika ya 64 na Haroun Lyawatana dakika ya 72 kwa Mashujaa FC na Mudathir Said dakika ya 38. Man of The Match Mishamo Michael wa Mashujaa…

Read More

Yamefungwa mabao 83 NBC Premier League 2026/27

Kivumbi kinaendelea ndani ya NBC Premier League kwa timu kusaka pointi 3 uwanjani. Nyavu zimekuwa zikitikiswa huku makipa wakiwa na jukumu kuzuia michomo kutoka kwa wapinzani. Ni wazi kwamba mzunguko mmoja zinachezwa jumla ya mechi 8 katika viwanja tofauti huku zikirushwa mubashara Azam TV. Ikiwa ni mzunguko wa 4 yamefungwa jumla ya mabao 83. Wastani…

Read More

Mizunguko 100 Ya Bure? Haya Ndio Ya Meridian Bonanza

Kama unafikiri michezo ya kasino mtandaoni haiwezi kuwa na msisimko wa kiwango cha juu, basi Meridian Bonanza iko tayari kubadilisha mtazamo huo. Meridianbet imekuja na mchezo unaochanganya burudani, muonekano wa kisasa na vipengele vinavyoweza kufanya kila spin iwe na matarajio mapya. Kuanzia unapofungua mchezo, sauti na mwonekano wake vinakupa hisia kwamba safari ya bonanza imeanza….

Read More

Barça na Arsenal vitani: Mechi kali za LaLiga na EPL zatamba leo

Mechi kali zinatarajiwa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku tayari Meridianbet wakiwa wamekuwekea Odds za kuvutia. Je nani unampendelea zaidi kukupatia matokeo?. Jisajili hapa. Ligi kuu kule Hispania yaani LALIGA itaendelea ambapo Barcelona atakipiga dhidi ya  Rayo Vallecano ambapo mabingwa hao watetezi wanataka kuanza msimu wakiwa na kasi nzuri katika harakati za kutetea ubingwa wao. Chini…

Read More

Barcelona Yamvuta Gabriel Jesus Kutoka Arsenal Kwa €10m

Barcelona imefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Gabriel Jesus, kutoka Arsenal kwa thamani ya takriban €10 milioni (£8.6m), huku kukiwa na nyongeza kulingana na masharti ya mkataba. Uhamisho huo unakuja katika siku za mwisho za dirisha la usajili, baada ya Barcelona kushindwa kufikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid, Julián Álvarez….

Read More

Bahati Yashushwa Ghafla Na Mystery Multiplier Drop

Kuna wakati mchezo unaanza kawaida, lakini sekunde chache baadaye kila kitu kinabadilika. Hiyo ndiyo ladha inayokuja na Mystery Multiplier Drop, kampeni mpya inayowapa wachezaji wa Meridianbet nafasi ya kukutana na vizidishi vya kushtukiza katika michezo yote ya Wazdan inayoshiriki. Kila dau linalokidhi vigezo linaweza kukuweka kwenye nafasi ya kupata bahati nasibu, huku kiwango cha juu…

Read More