Simba SC ndani ya Zanzibar
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Steve Barker kimewasili Zanzibar leo Aprili 22, 2026 kwa maandalizi ya mwisho mchezo wa robo fainali Muungano Cup. Timu hiyo inatarajiwa kutupa kete yake ya kwanza Aprili 23, 2026 itakuwa dhidi ya Mafunzo SC, saa 2:15 usiku. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga SC ambao…