Makonda Amteua Tenga Kuongoza Maandalizi ya AFCON 2027

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania, Paul Makonda, amemteua aliyekuwa nahodha wa zamani wa timu ya taifa, Leodegar Tenga, kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Ndani ya Maandalizi ya Fainali za AFCON 2027. Mashindano hayo makubwa ya soka barani Afrika yanatarajiwa kufanyika kwa ushirikiano wa nchi tatu za Afrika Mashariki ambazo ni Tanzania,…

Read More

Raphinha Aomba Radhi Baada ya Ishara Dhidi ya Mashabiki wa Atlético Madrid

Nyota wa FC Barcelona, Raphinha, ameomba radhi kufuatia ishara aliyofanya kuelekea mashabiki wa Atlético Madrid baada ya timu yake kutolewa katika hatua ya robo fainali ya UEFA Champions League. Raphinha, ambaye hakushiriki kwenye mchezo wa marudiano kutokana na majeraha ya paja, alionekana akijibu mashabiki wa Atlético akiwa uwanjani baada ya mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa…

Read More

FT: Fountain Gate 0-3 Simba SC

Fountain Gate 0-3 Simba SC ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa leo Aprili 15, 2026 NBC Premier League Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Mchezo wa leo ulianza kwa kasi katika dakika 44 za mwanzo ambapo Fountain Gate walikuwa wakijilinda zaidi na Simba SC ikitafuta goli la kuongoza. Ni kiungo Clatous Chama alifunga goli la…

Read More

Nusu Fainali ya UEFA Kitawaka leo; Bayern vs Real Madrid na Arsenal vs Sporting Pesa Ziko Hapa

Nusu Fainali hiyo inanukia leo kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Timu mbili zenye majina makubwa Duniani zinatarajia kuvaana haswa kutafuta nafasi ya kwenda hatua nyingine. Je nani unampa nafasi ya ushindi leo? Kwenye mechi ya mkondo wa kwanza kule Santiago Bernabeu Bayern walishinda 2-1 wakiwa wamecheza mchezo mzuri kabisa ambapo kama wangekuwa wametumia…

Read More

Fountain Gate vs Simba SC kupigwa leo

Fountain Gate vs Simba SC kupigwa leo Aprili 15, 2025 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa wababe hawa kusaka pointi tatu muhimu. Aboubakar Ally kocha wa Fountain Gate amesema kuwa wametoka kucheza mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Azam FC hivyo wamejiandaa kuwakabili wapinzani wao. “Tumejiandaa kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Simba…

Read More

Djigui Diarra kamili kuwakabili Mbeya City

MLINDA mlango namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra ni ruksa kuwakabili Mbeya City kwenye mchezo ujao wa ligi unaotarajiwa kuchezwa Aprili 16, 2026 Uwanja wa KMC Complex. Kipa huyo alifungiwa mechi 3 na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, (TPLB) kutokana na kosa la utovu wa nidhamu alilofanya mchezo wa ligi, Mtibwa Sugar 1-1…

Read More

Jonathan Sowah arejeshwa Simba SC

Jonathan Sowah amerejeshwa katika kikosi cha Simba SC kwa masharti afanye mazoezi na timu ya vijana chini ya miaka 20, (Simba SC U 20) Sowah raia wa Ghana alisimamishwa Februari timu ilipokuwa inajiandaa kuikabili Dodoma Jiji FC. Alikosekana kwenye mechi za ushindani ikiwemo mchezo wa Kariakoo Dabi, Yanga SC 0-0 Simba SC. Ahmed Ally, Meneja…

Read More

Fountain Gate vs Simba SC

Fountain Gate vs Simba SC ni mchezo unaofuata kwenye ratiba kwa wababe hawa kusaka pointi 3 ndani ya dakika 90. Fountain Gate kwenye msimamo ipo nafasi ya 14 ikiwa na pointi 16 baada ya mechi 17 ipo kwenye mstari wa kucheza play off. Simba SC ipo nafasi ya pili kwenye msimamo ikiwa na pointi 36…

Read More

UEFA Champions League: Atletico na PSG Kwenye Hatua ya Maamuzi Leo

Timu za Atletico Madrid na Paris Saint-Germain zinaingia dimbani leo usiku zikiwa na faida muhimu ya matokeo, zikisaka kulinda ushindi wao na kutinga nusu fainali ya UEFA Champions League. Atletico Madrid watakuwa nyumbani katika dimba la Wanda Metropolitano wakiwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Barcelona, hali inayowapa uhuru wa kucheza kwa tahadhari huku wakilinda…

Read More