Ronaldinho Atoa Mshangao, Arejea Soka Akiwa Na Miaka 46
Milan, Italia — Mwanasoka nguli wa Brazil, Ronaldinho Gaúcho, anatarajiwa kurejea rasmi uwanjani akiwa na umri wa miaka 46, miaka 11 baada ya kucheza mchezo wake wa mwisho wa soka la ushindani. Ronaldinho amefikia makubaliano na Ravenna FC, klabu ya Italia inayoshiriki Serie C, ambapo atahusishwa na klabu hiyo si tu kama mwekezaji, bali pia…