Simba Yamtambulisha Rasmi Ibrahim Nindi Akitokea Singida Black Stars
Klabu ya Simba SC imemtambulisha rasmi beki wa kati Ibrahim Nindi kama mchezaji mpya wa kikosi hicho, akirejea Msimbazi baada ya kuitumikia Singida Black Stars. Nindi mwenye umri wa miaka 19 amewahi kupitia akademi ya Simba SC kabla ya kuendelea na safari yake ya soka katika klabu za Mashujaa, KMC na Singida Black Stars. Beki…