Ratiba ya mzunguko wa 4 NBC Premier League
NBC Premier Leagu inaendelea ikiwa ni mzunguko wa 4 kwa sasa 2026/27. Hii hapa ratiba ipo namna hii:- Mashujaa FC vs Kagera Sugar, Uwanja wa Lake Tanganyika, Agosti 27,2026 Simba SC vs Coastal Union, Uwanja wa Meja Jen Isahmuyo, Agosti 27,2026 Fountain Gate vs Mbeya City, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Agosti 28,2026 Geita Gold…