Uwanja wa zawadi umefunguliwa na Meridianbet imekuja na kitu kikubwa. Non-Stop Blasts & Races inatoa jumla ya TZS 75,000,000,000 katika zawadi, huku wachezaji wakipewa nafasi ya kushiriki mashindano mbalimbali na kukutana na zawadi zisizotarajiwa kupitia michezo iliyochaguliwa ya Playson.
Mwanzo wa burudani unapatikana kwenye Power Blasts, ambapo bahati inaweza kukufuata ndani ya mchezo. Wachezaji wanaoshiriki kwenye michezo inayokidhi vigezo wanaweza kupata smart drops za kushtukiza. Zawadi hizo zinaweza kuja kwa mfumo wa Cash Prizes, mizunguko ya bure au vizidishi. Maana yake ni kwamba wakati mwingine zawadi haihitaji kutafutwa, inaweza kujitokeza yenyewe mchezoni.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kisha kuna Grand Races, mashindano yanayowahitaji wachezaji kuwa na mwendelezo. Kadiri unavyocheza michezo inayostahili, ndivyo unavyoweza kupata pointi za kukuweka juu kwenye msimamo. Hapa kila hatua inaweza kubadilisha nafasi yako, huku wachezaji wakichuana kwa ajili ya kupanda juu zaidi. Ni aina ya mashindano inayoongeza ushindani na kufanya kila pointi ionekane kuwa muhimu.
Kwa mashabiki wa mbio za kasi, Turbo Races zinaongeza moto mwingine. Hizi ni mbio fupi zinazotokea kwa kasi na kutoa nafasi za mara kwa mara za kushindana. Wachezaji wanapata nafasi mpya ya kuanza kupambana kwa ajili ya nafasi za juu. Hivyo, milango ya ushindani haifungwi kwa muda mrefu. mbio mpya, nafasi mpya na changamoto mpya vinaweza kuanza tena.
Na kwa kuwa kampeni ni Non-Stop, burudani haishii kwenye tukio moja. Awamu mbalimbali zinaweza kuwa na michezo, prize pools, ratiba za mbio na masharti tofauti, hivyo ni muhimu kufuatilia kinachoendelea. Ingia kwenye michezo iliyochaguliwa, fuatilia mashindano na uwe tayari kwa zawadi za hapo kwa papo.