Matokeo NBC Premier League 2025/26 na ratiba

NBC Premier League 2026/27 inazidi kushika kasi ambapo kila timu zinasaka pointi 3 ndani ya uwanja. Agosti 25 zilichezwa mechi mbili kali kwa wababe kusaka pointi uwanjani.Ndani ya dakika 180 yamefungwa mabao mawili kila mchezo ukikamilika kwa ushindi wa bao 1-0.Matokeo Agosti 25,2026

Namungo FC 1-0 Fountain Gate, saa 12:00 jioni
Mtupiaji ni Herbert Lukindo dakika ya 10

Dodoma Jiji FC 0-1 Polisi Tanzania, saa 2:30 usiku
Goal mtupiaji ni Anuary Jabir dakika ya 28

Agosti 27,2026

Mashujaa FC vs Kagera Sugar, saa 10:00 jioni
Simba SC vs Coastal Union, saa 1:00 usiku

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Duniani kote kinapatikana mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.