Tottenham yamsajili Savinho kutoka Manchester City kwa £75 milioni

Tottenham Hotspur imekamilisha usajili wa winga wa Brazil, Savinho, kutoka Manchester City kwa ada ya awali ya £75 milioni, huku kiasi hicho kikitarajiwa kufikia £85 milioni iwapo vigezo vya nyongeza vitatimia. Savinho, mwenye umri wa miaka 22, ambaye sasa ametangaza kutumia jina Sávio, amesaini mkataba wa muda mrefu na Tottenham katika usajili unaoendelea kuonyesha nia…

Read More