Ni siku nyingine kabisa na tulivu ambayo imekuja kwaajili ya kubadili maisha yako. Timu kibao zipo uwanjani kuwania pointi 3 huku wewe ukiwania mkwanja wa maana. Ingia kwenye jamvi akaunti yako na ubeti sasa.
EPL kuendelea kurindima kibabe ambapo Liverpool watakuwa ugenini kuanza kampeni yao dhidi ya Newcastle United moja ya timu ambazo ni ngumu sana kukabiliana nazo hasa wakiwa nyumbani kwao. Liver pia ni timu ambayo ina kocha mpya ambaye ni Iraola am,baye alichukua mikoba ya Arne Slot ambaye alitimuliwa mwisho mwa msimu.
Wakati Newcastle United wao chini ya kocha mpya pia Matthias Jaissle ambaye alirithi kiti cha Eddie Howe anatazamia kukinoa kikosi hicho cha Magpies msimu huu kwa mafanikio makubwa kabisa huku nafasi ya ushindi wakipewa vijana wa Anfield kwani ubora wa wachezaji ni mkubwa sana kuliko timu wanayokutana nayo.
Odds Kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii ya leo, nani kuondoka na ushindi wa pointi 3?. Hii ni mechi ambayo kila timu inahitaji kuondoka kifua mbele kabisa. Bashiri sasa.
Tengeneza pesa kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Wakati huo huo Manchester City watakuwa nyumbani kupepetana dhidi ya AFC Bournemouth ambao msimu uliopita walimaliza nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. City wao wanatamani kuanza msimu kwa kupata ushindi mnono wakiwa pale Etihad.
Ikumbukwe kuwa Man City wana kocha mpya aliyeachiwa kijiti cha kuinoa timu hiyo na Pep Guardiola. Kocha huyo ni Enzo Maresca ambaye alianza ufunguzi wa msimu mpya kwa kupokea kichapo dhidi ya vinara wa ligi Arsenal kwenye mechi ya Ngao ya jamii licha ya kuwa na kikosi cha wachezaji bora kabisa.
Timu hiyo ya Maresca inaingia uwanjani ikitaka kuthibitisha kuwa bado ina uwezo wa kupambania taji la ligi, huku wakiondokewa na baadhi ya wachezaji muhimu kama vile Rodri, Bernado Silva, Stone na wengine wengi ambao walikuwa na mchango mkubwa huku wakimleta Henderson kutoka Forest.
Meridianbet wanampa nafasi kubwa City kuondoka na ushindi dhidi ya Bournemouth kutokana na ubora ambao wanao lakini pia faida ya kuwa nyumbani. Je wewe unampa nani nafasi ya ushindi?. Jisajili hapa.
Pia LALIGA kuna mechi ya kukata na shoka ambapo bingwa mtetezi FC Barcelona atakuwa ugenini dhidi ya Elche wakiwa ni timu sumbufu sana kukabiliana nao wakiwa nyumbani kwao.
Vijana hawa wa Hans Flick wanahitaji kupata ushindi huu wa kwanza ili kujiweka vyema kwenye kutetea taji lao la ligi, na nafasi ya ushindi pale Meridianbet wamepewa wao kutokana na uwezo mkubwa wa wachezaji ambao wao wakiwemo, Lamine, Adeyemi, Rodri, Raphinha na wengine wengi.
Mara ya mwisho Elche kukabiliana na Barcelona walipigika vibaya, hivyo leo hii ni siku ya wao kulipa kisasi wakiwa nyumbani. Je wataweza mbele ya mabingwa hawa watetezi?. Tengeneza jamvi hapa.