KIKOSI cha Simba SC tayari kimeanza maandalizi ya mechi zinazofuata ndani ya NBC Premier League 2025/26 mara baada ya mapumziko mafupi.
Hii hapa ratiba kwa mechi zinazofuata kwenye ligi. Ikumbukwe kwamba timu hiyo ipo nafasi ya pili imekusanya jumla ya pointi 58 baada ya mechi 25.
14 Juni 2026 Simba SC vs Pamba Jiji FC KMC Complex
18 Juni 2026 Mbeya City vs Simba SC Ugenini
24 Juni 2026 Mtibwa Sugar vs Simba SC Ugenini
27 Juni 2026 Simba SC vs Singida Black Stars KMC Complex
30 Juni 2026 Simba SC vs KMC Complex
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.
Team Canada forward Jonathan David (#7) watches as his shot is saved by the Iceland goalkeeper during an international friendly match between Canada and Iceland at BMO Field in Toronto, Ontario, Canada, on March 28, 2026. (Photo by Indrawan Kumala/NurPhoto) (Photo by Indrawan Kumala / NurPhoto via AFP)