Orodha ya wafungaji magoli Yanga SC 2025/26
YANGA SC inaongoza ligi na pointi 60 baada ya mechi 25, safu ya ushambuliaji imefunga magoli 58 na kinara ni Allan Okello mwenye magoli 11. Hii hapa orodha ya wafungaji magoli 2025/26 NBC Premier Mchezaji Magoli Asisti Allan Okello 11 7 Prince Dube 9 3 Mudathir Yahya 8 2 Pacom Zouzoua 7 4 Laurindo Depu…