Mabingwa watetezi wa NBC Premier League na CRDB Federation Cup Juni wana mechi 6 za kazi kusaka ushindi ndani ya uwanja. Ni Yanga SC ambayo inatetea taji la CRDB Federation Cup ipo hatua ya nusu fainali. Kwenye ligi wapo nafasi ya kwanza na pointi 60.
Hizi hapa mechi zinazofuata kwenye ratiba 2025/26 namna hii:-
Juni 13, 2026 Mashujaa FC vs Yanga SC NBC Premier League Uwanja wa Lake Tangayika, Kigoma
Juni 18, 2026 Fountain Gate FC vs Yanga SC NBC Premier League Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha
Juni 21, 2026 Azam FC vs Yanga SC CRDB Federation Cup Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza
Juni 24, 2026 Yanga SC vs Azam FC NBC Premier League Uwanja wa KMC Complex, Dar
Juni 27, 2026 Yanga SC vs TRA United NBC Premier League Uwanja wa KMC Complex, Dar
Juni 30, 2026 JKT Tanzania vs Yanga SC NBC Premier League Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo, Dar
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.