Orodha ya wafungaji magoli Yanga SC 2025/26

YANGA SC inaongoza ligi na pointi 60 baada ya mechi 25, safu ya ushambuliaji imefunga magoli 58 na kinara ni Allan Okello mwenye magoli 11.

Hii hapa orodha ya wafungaji magoli 2025/26 NBC Premier

Mchezaji

Magoli

Asisti

Allan Okello

11

7

Prince Dube

9

3

Mudathir Yahya

8

2

Pacom Zouzoua

7

4

Laurindo Depu

6

2

Maxi Nzengeli

5

5

Mohamed Hussein

3

1

Andy Boyeli

2

Duke Abuya

2

6

Lassine Kouma

1

Mohamed Damaro

1

Shekhani Hamis

1

1

Celestin Ecua

1

1

Bakari Nondo Mwamnyeto

1

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.