Mataifa Yaliyoingiza Timu Mbili Katika Hatua Ya Pili Ya Mtoano Ligi ya Mabingwa
Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF Champions League imefikia hatua ya kusisimua baada ya kukamilika kwa raundi ya kwanza ya mchujo. Mataifa makubwa ya soka yameonyesha ubabe kwa kufanikiwa kuingiza klabu zake zote mbili katika raundi ya pili ya mtoano ili kuwania nafasi ya kuigia makundi Tanzania imewakilishwa vyema na klabu zake kongwe za…