FT: England 4-2 Croatia, FIFA Kombe la Dunia 2026

FIFA World Cup 2026, England 4-2 Croatia, Uwanja wa Dallas mchezo wa Kundi L kwenye msako wa pointi 3 muhimu.

Magoli ya England yamefungwa na Harry Kanne dakika ya 12 kwa mkwaju wa penalti, dakika ya 42, Jude Bellingham dakika ya 47 na Marcus Rashford dakika ya 85.

Croatia imefunga magoli kupitia Martin Baturina dakika ya 36 na Petar Mussa dakika ya 45+5. Kipindi cha kwanza yalifungwa magoli manne na kipindi cha pili 2.

Ndani ya dakika 90 yamefungwa magoli 6 kwa wababe hawa huku pointi tatu zikiwa ni mali ya England inayoongoza kundi ikiwa na pointi 3.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu.  Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.

Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.