Ruto Aialika Arsenal Kutembelea Kenya Baada ya Sherehe Kubwa za Ubingwa
Rais wa Kenya, William Ruto, amesema ameialika klabu ya Arsenal kutembelea Kenya baada ya kushuhudia namna mashabiki wa timu hiyo walivyosherehekea ubingwa wa Ligi Kuu ya England kwa shamrashamra kubwa nchini humo. Akizungumza wakati wa Mkutano wa G7 uliofanyika nchini Ufaransa, Ruto alisema alishangazwa na ukubwa wa sherehe zilizofanyika jijini Nairobi na maeneo mengine nchini…