Tottenham vs Aston Villa: Nani Atang’ara Leo London?

Soccer Football - Premier League - Tottenham Hotspur v Aston Villa - Tottenham Hotspur Stadium, London, Britain - November 26, 2023 Aston Villa's Ollie Watkins in action with Tottenham Hotspur's Emerson Royal REUTERS/Dylan Martinez

Ni siku nyingine tena ya kushuhudia miamba kibao ikishuka dimbani leo kwenye Ligi kuu ya EPL. Je ni Arsenal kujihakikishia nafasi ya kwanza kwenye msimamo au Brighton watawashika shati mabingwa hao? Jisajili na ubashiri hapa.

Tottenham Hotspur leo Jumamosi, itakuwa mwenyeji wa Aston Villa katika mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa Tottenham Hotspur Stadium. Mchezo huo utaanza saa 14:30 mchana, huku timu hizo zikikabiliwa na umuhimu wa kupata matokeo baada ya kuanza msimu kwa kusuasua.

Tottenham wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na pointi mbili pekee baada ya michezo minne ya ligi, huku bado hawajafunga bao katika ligi kuu ya EPL msimu huu.

Kocha Roberto De Zerbi, ambaye anaendelea kukijenga kikosi kipya, amesisitiza kuwa timu yake bado iko kwenye hatua za mwanzo za mradi wake na inahitaji muda ili wachezaji wapya kuzoea mfumo wa uchezaji.

Kwa upande wa Aston Villa, kikosi cha Unai Emery pia hakijaanza ligi kwa matokeo mazuri. Villa imekusanya pointi moja katika michezo minne ya EPL, lakini inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na morali baada ya kuifunga Coventry City mabao 3-1 katika Kombe la Ligi, ambapo Tammy Abraham alifunga mabao mawili.

Meridianbet inasema kuna michezo kama Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli. Ingia katika kasino ya mtandaoni ya Meridianbet na ujiokotee mkwanja mapema.  Jiunge sasa au Tembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mchezo huo pia utakuwa muhimu katika upande wa ushambuliaji, kwani Tottenham wanahitaji kuvunja ukame wao wa mabao kwenye ligi, wakati Aston Villa nao wamekuwa na changamoto katika kupata mabao. Hivyo, umakini katika kutumia nafasi na uimara wa safu za ulinzi unaweza kuwa na nafasi kubwa katika kuamua mwelekeo wa mchezo.

Kwa ujumla, Tottenham na Aston Villa zitakutana katika pambano ambalo kila upande unahitaji kuanza kujenga mwendelezo mzuri wa matokeo. Spurs watakuwa mbele ya mashabiki wao wakitafuta bao na ushindi wao wa kwanza wa ligi, huku Villa ikilenga kubadili mwenendo wake wa EPL na kuondoka London ikiwa na pointi tatu muhimu.