Hawa hapa wakali wa Asisti NBC Premier League 2026/27

LIBASE Gueye nyota wa Simba SC ni namba moja kwa wakali wakutengeneza pasi za mwisho akiwa nazo 5 baada ya timu hiyo kucheza mechi 6 ndani ya ligi.

Anayemfuata ni Hussein Zakouani mwenye pasi za mabao 3 huyu yupo ndani ya kikosi cha Yanga SC mwingine ni Jeacy Mboma wa Singida Black Stars.

Henry David wa Singida Black Stars , Yusuph Adam wa Singida Black Stars, Vicent Abubakar wa Geita Gold, Ani Elijah wa TRA United, Chadrack Boka wa Yanga SC, Hassan Mubiru wa Azam FC na Denis Mushi wa Polisi Tanzania hawa wote kila mmoja ametengeneza asisti 2 za mabao.

Kwa sasa NBC Premier ipo mapumziko kutokana na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuingia kambi kwa maandalizi ya mechi za kufuzu AFCON.

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar