Kufuzu AFCON 2027: Taifa Stars Yaanza Kwa Kichapo, Yafungwa 2-0 Na Guinea-Bissau
Tanzania leo, Septemba 25, 2026, imeanza vibaya safari ya kufuzu AFCON 2027 baada ya kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Guinea-Bissau katika Uwanja wa New Amaan Complex, uliopo Unguja, Zanzibar. Guinea-Bissau ilipata bao la kwanza dakika ya 33 kupitia Franculino Djú, aliyefunga baada ya kupokea pasi ya Beto. Dakika ya 58, Mama Baldé aliifungia Guinea-Bissau…