Shabiki wa Soka na Michezo Mengine? Meridian Sports App Ni Kwa Ajili Yako
Wapenzi wa michezo sasa wanaweza kuwa karibu zaidi na taarifa wanazozipenda kupitia Meridian Sports App, jukwaa linalowaletea habari za michezo kutoka Tanzania na sehemu mbalimbali duniani. App hiyo inapatikana kwenye Google Play Store kwa watumiaji wa Android na App Store kwa watumiaji wa iOS. Kwa upande wa soka, Meridian Sports App inawapa mashabiki nafasi ya…