
KIMATAIFA KAZI BADO KUBWA IPO MBELE YA WAWAKILISHI
PICHA kamili ya timu itakayosonga mbele kwenye mechi za kimaita inakwenda kukamilika katika mechi za marudiano ambazo zinatarajiwa kuchezwahivi karibuni. Kila timu inatambua namna ilivyopambana kwenye mchezo wa kwanza na kupata matokeo ambayo ni mwanzo wa safari kuelekea kufikia malengo yao. Malengo ya msimu uliopita ni muhimu kuyatazama na kujua ni wapi yalipoishia kisha kuanza…