SIMBA YAWAPIGIA HESABU WAZAMBIA KIMATAIFA

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema wameutumia mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union uliopigwa Alhamisi iliyopita kama sehemu ya kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Mbali na mchezo huo pia Simba ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pan…

Read More

KOCHA AL MERRIKH: YANGA INAOGOPESHA

KOCHA wa Al Merrikh, Osamah Nabieh amekiri kwa kusema kuwa Yanga ni moja kati ya timu ambayo inahofiwa kwa sasa barani Afrika kulingana na kile ambacho inakionyesha ndani ya uwanja haswa kutokana na kupata matokeo mazuri na kucheza mpira mzuri. Kocha huyo anayokumbukumbu ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 wakiwa nyumbani katika mchezo wa kwanza…

Read More

VIDEO:WASIOMTAKA KOCHA SIMBA WAAMBIWA WASEPE

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo Kisungu ameweka wazi kuwa waleambao wanahitaji kuona Kocha Mkuu wa Simba Roberto Oliveira akifungashiwa virago waondoke. Kumekuwa na presha kubwa kutoka kwa mashabiki ambao wamekuwa wakihitaji kuona kocha huyo anaondoka kwa kuwa timu inashinda huku wao wakiwa hawana furaha.

Read More

AFCON 2027 KUANDALIWANA NCHI TATU, KENYA, UGANDA NA TANZANIA

RASMI mataifa matatu yataandaa mashindano makubwa Afrika ambayo ni Africa Cup. Mapema Septemba 27, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Damas Ndumbaro aliongozana na ujumbe wa pamoja wa Tanzania, Uganda na Kenya ambapo walikuwa kwenye kikao cha kuwasilisha wasilisho la kuomba kuwa mwenyeji wa AFCON 2027. Kikao hicho cha CAF ExCO kilifanyika katika hotel ya…

Read More

NTIBANZOKIZA NA LUIS NDANI YA SIMBA KUNA NAMNA

VIUNGO wawili wa Simba, Luis Miquissone na Saido Ntibanzokiza chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kuna namna wanazidi kuiva chungu kimoja kutokana na muunganiko wao kuanza kujibu. Nyota hao kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Power Dynamo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Agosti 6 mwendo wa mpira wa kona iliyopigwa na Luis dakika ya 74 ileleta…

Read More

LIVERPOOL BADO WANAJITAFUTA HUKO

LIVERPOOL wamekuwa wakijitafuta kwa muda na sasa wanaonekana kurejea kwenye makali yao hiyo ni baada ya wikiendi iliyopita kutoka nyuma na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Wolves 3-1 ugenini huko Molineux. Msimu uliopita ilikuwa mara ya kwanza kwa Liverpool kushindwa kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo Kocha Mkuu Jurgen Klopp amekuwa kwenye usukani kwa…

Read More

ZANA ZA KAZI ZAANDALIWA YANGA NA GAMONDI

KUELEKEA mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Al Merrikh, Waarabu hao wa Sudan watakutana na balaa jipya linalosukwa na Miguel Gamondi ambaye ni Kocha Mkuu wa Yanga. Gamondi anaandaa zana za kazi kuelekea mchezo huo muhimu kwa Yanga kupata ushindi kukata tiketi ya kutinga hatua ya makundi Afrika….

Read More

TUSIJUMUISHE USHABIKI KWENYE MASUALA YA KUUMIZWA KWA INONGA

WAKATI mwingine si vibaya kusema mashabiki wa mpira na hasa Tanzania wamekuwa na mambo mengi sana yanayopaswa kulaaniwa. Binafsi nayaona ni masuala ambayo yanaonyesha ushabiki kupindukia wakati mwingine unakuwa ni tatizo kubwa sana. Ushabiki wa aina hiyo umewafanya mashabiki wengi washindwe kujitambua na ndio maana umeona baadhi ya mashabiki au wahamasishaji wanaotangaza zaidi chuki wamekuwa…

Read More

CHAMA GARI LIMEWAKA HUKO

MWAMBA wa Lusak, Clatous Chama gari limeweka kutokana na kasi yake ya kufunga na kutengeneza mabao kuanza kurejea kwa namna yake. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Chama alikuwa ni namba moja kwa viungo waliotoa pasi nyingi ndani ya ligi ambazo ni 14. Msimu wa 2023/24 pasi yake ya kwanza aliitoa kwenye mchezo wa ligi dhidi…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wake wote ni muhimu kuendelea kupambana kwenye mechi zote ili kuwapa burudani mashabiki na kupata matokeo chanya. Timu hiyo mchezo wake uliopita ilikomba pointi tatu mazima dhidi ya Singida Fountain Gate kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Dabo ameweka wazi kuwa bado wachezaji wanaonyesha…

Read More

MTAMBO HUU WA MABAO YANGA KUWAKOSA WAARABU

IMELEEZWA kuwa mshambuliaji wa Yanga, Hafidh Konkoni huenda akaukosa mchezo wa marudiano wa Hatua ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika watakaocheza dhidi ya Al Merrikh ya Sudan. Mchezo unatarajiwa kupigwa Septemba 30, mwaka huu saa moja kamili kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Straika huyo hivi…

Read More

TWIGA STARS KAZINI LEO AZAM COMPLEX

KUELEKEA katika mchezo wa kuwania kufuzu Mashindano ya Mataifa ya Kimataifa Wanawake, (WAFCON) unaotarajiwa kuchezwa leo, benchi la ufundi la Timu ya Taifa ya Tanzania, Twiga Stars limeweka wazi kuwa lipo tayari. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex likiwa ni jambo la taifa na hakutakuwa na kiingilio.  Kocha Mkuu wa Twiga Stars, Bakari…

Read More

BALEKE KWENYE KIVULI CHAKE NDANI YA SIMBA

MGANDAMIZO wakati mwingine hutoa kitu halisi na muda mwingine huwa kinakuwa na mvurugano kutokana na aina ya mwanga ambao utakuwa unahusika. Kwenye Ligi Kuu Bara ndani ya Simba kuna mshamuliaji aliyefunga mzunguko wa pili 2022/23 kwa kasi kisha kaanza kuishi kwenye kivuli chake msimu wa 2023/24. Hapa kwenye mwendo wa data tupo na nyota Jean…

Read More