HAJI MANARA:TUKAE WIKI TANGA TUFUNGWE?
HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa isingekuwa rahisi kwa Yanga kufungwa kwenye mchezo wao wa jana kwa kuwa walijipanga kushinda na walitumia muda mwingi wakiwa Tanga. Januari 16 ubao wa Uwanja wa Mkwakwani ulisoma Coastal Union 0-2 Yanga na kuwafanua waweze kusepa na pointi tatu mazima ambapo mabao yalifungwa na Said Ntibanzokiza…