
MASTAA WAWILI WA SIMBA KUIKOSA JWANENG GALAXY KESHO
MASTAA wawili wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa kesho Oktoba 24 kuna hatihati ya kuwakosa mazima wapinzani wao Jwaneng Galaxy ya Botswana katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni Chris Mugalu kipenzi cha Gomes kwenye suala la ushambuliaji huyu hajarejea kwenye utimamu baada ya kupata maumivu kwenye…