Home Sports KIKOSI BORA CHA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA

KIKOSI BORA CHA LIGI YA WANAWAKE TANZANIA

UTOAJI wa tuzo umefanyika Oktoba 21 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere uliopo Posta, Dar es salaam.Tuzo hizo ziligawanyika katika makundi makuu matatu ambayo ni ligi kuu, Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), maarufu kama FA na Ligi ya Wanawake.

Kutokana na timu ya taifa ya Wanawake kuwa na majukumu ya taifa wengi walichukuliwa tuzo zao na wawakilishi ambao waliweza kuzichukua tuzo hizo.

Kikosi bora cha Ligi ya Wanawake;

1. Janeth Shija
2. Julieth Singano
3. Happy Hezron
4. Vaileth Nicholas
5. Fatuma Issa
6. Amina Bilali
7. Stumai Abdallah
8. Opa Clement
9. Aisha Masaka
10. Mawete Mussolo

Previous articleRONALDO NI MPINDUAJI MEZA, KOCHA AMZUNGUMZIA
Next articleWAWAKILISHI WETU KIMATAIFA KAZI IPO KWENU