
ZIDANE AGOMEA DILI LA MANCHESTER UNITED
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Manchester United inamtaka Kocha Zinedine Zidane raia wa Ufaransa kutua klabu hapo kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho kufuatia kufungashiwa virago kwa Ole Gunar Solskjaer lakini kwa mujibu wa vyanzo vya karibu na kocha huyo wa zamani wa Real Madrid, amesema hana mpango wa kwenda Old Trafford. Solskjaer alitimuliwa na…